Numbers 21:11
Kisha wakaondoka Obothi na kupiga kambi huko Iye-Abarimu, katika jangwa linalotazamana na Moabu kuelekea mawio ya jua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Waisraeli waliendelea na safari yao na wakapiga kambi huko Obothi.
12Kutoka hapo waliendelea mbele wakapiga kambi kwenye Bonde la Zeredi.
Cross References
Numbers 33:43Wakaondoka Punoni, wakapiga kambi huko Obothi. 1