Numbers 21:18
kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, 2 ambacho watu mashuhuri walikifukua, 2 watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Kisha Israeli akaimba wimbo huu: 1 “Bubujika, ee kisima! 2 Imba kuhusu maji, 1
19kutoka Matana wakafika Nahalieli, kutoka Nahalieli wakafika Bamothi,
Cross References
Numbers 33:45Wakaondoka Iye-Abarimu, wakapiga kambi huko Dibon-Gadi. 1
Deuteronomy 33:4sheria ile Mose aliyotupa sisi, 2 tulio milki ya kusanyiko la Yakobo. 1
Nehemiah 3:1Eliashibu kuhani mkuu na makuhani wenzake walikwenda kufanya kazi na kulijenga upya Lango la Kondoo. Waliliweka wakfu na kuweka milango mahali pake, wakajenga hadi kufikia Mnara wa Mia, ambao waliuweka wakfu hadi Mnara wa Hananeli.
Isaiah 33:22Kwa kuwa Bwana ni mwamuzi wetu, 2 Bwana ndiye mtoa sheria wetu, 1 Bwana ni mfalme wetu, 2 yeye ndiye atakayetuokoa. 1
1 Timothy 6:17Waagize wale ambao ni matajiri wa ulimwengu huu waache kujivuna, wala wasiweke tumaini lao katika mali ambayo si ya hakika, bali waweke tumaini lao katika Mungu ambaye hutupatia vitu vyote kwa wingi ili tuvifurahie.