Numbers 21:3
Bwana akasikiliza ombi la Waisraeli, naye akawapa ushindi juu ya Wakanaani. Wakawaangamiza kabisa na miji yao; hivyo mahali pale pakaitwa Horma. + 21:3 Horma maana yake Maangamizi. 1 Nyoka Wa Shaba
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 1:44Waamori ambao waliishi katika vilima hivyo waliinuka dhidi yenu, wakawafukuza kama kundi la nyuki wakiwapiga njia yote ya Seiri mpaka Horma.
Joshua 15:30Eltoladi, Kesili, Horma,
Psalms 10:17Unasikia, Ee Bwana, shauku ya wanaoonewa, 2 wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao, 1
Psalms 102:17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, 2 wala hatadharau hoja yao. 1