Numbers 21:30
“Lakini tumewashinda; 2 Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. 1 Tumebomoa hadi kufikia Nofa, 2 ulioenea hadi Medeba.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Kwa hiyo Israeli akaishi katika nchi ya Waamori.
Cross References
Numbers 32:3“Atarothi, Diboni, Yazeri, Nimra, Heshboni, Eleale, Sebamu, Nebo na Beoni,
Joshua 13:9Eneo lao lilienea toka Aroeri, iliyoko ukingoni mwa Bonde la Arnoni kuanzia mji ulio katikati ya bonde, likijumlisha nchi ya uwanda wa juu wote wa Medeba mpaka Diboni,
2 Samuel 11:24Ndipo wapiga upinde walitupa mishale kwa watumishi wako kutoka ukutani, na baadhi ya watu wa mfalme wakafa. Zaidi ya hayo, Uria, Mhiti, mtumishi wako amekufa.”
Isaiah 15:2Diboni anakwea hadi kwenye hekalu lake, 2 mpaka mahali pake pa juu ili walie, 2 Moabu anaombolezea Nebo na Medeba. 1 Kila kichwa kimenyolewa 2 na kila ndevu limeondolewa. 1
Jeremiah 48:18“Shuka kutoka fahari yako 2 na uketi katika ardhi iliyokauka, 2 enyi wenyeji wa Binti wa Diboni, 1 kwa maana yeye aangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, 2 na kuangamiza miji yako iliyozungushiwa maboma. 1