Numbers 21:8
Bwana akamwambia Mose, “Tengeneza nyoka wa shaba na umweke juu ya mti; yeyote aliyeumwa na nyoka anaweza kumtazama na akaishi tena.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 18:4Akapaondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu, akazivunja sanamu, akakatakata nguzo za Ashera. Akavunja vipande vipande ile nyoka ya shaba Mose aliyotengeneza, kwa kuwa hadi siku hizo wana wa Israeli walikuwa wanaifukizia uvumba (ilikuwa ikiitwa Nehushtani + 18:4 Nehushtani maana yake Kipande cha shaba.).
Psalms 145:8Bwana ni mwenye neema na mwingi wa huruma, 2 si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo. 1