Numbers 22:12
Lakini Bwana akamwambia Balaamu, “Usiende pamoja nao. Hupaswi kulaani watu hao, kwa kuwa wamebarikiwa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:2“Mimi nitakufanya taifa kubwa 2 na nitakubariki, 1 Nitalikuza jina lako, 2 nawe utakuwa baraka. 1
Numbers 22:19Mlale hapa usiku huu kama wale wengine walivyofanya, nami nitatafuta ni nini kingine Bwana atakachoniambia.”
Numbers 23:13Ndipo Balaki akamwambia, “Twende pamoja mahali pengine ambapo unaweza kuwaona; utawaona baadhi tu wala si wote. Nawe kutoka huko, unilaanie hao.”
Numbers 23:23Hakuna uchawi dhidi ya Yakobo, 2 wala hakuna uaguzi dhidi ya Israeli. 1 Sasa itasemwa kuhusu Yakobo 2 na Israeli, ‘Tazama yale Mungu aliyotenda!’ 1
Deuteronomy 7:14Mtabarikiwa kuliko mataifa mengine yote, hakuna wanaume wala wanawake kwenu watakaokosa watoto, wala mifugo yenu haitakuwa tasa.
Deuteronomy 28:6Utabarikiwa uingiapo na utabarikiwa utokapo.