bible.software › Numbers › Numbers 22 › Numbers 22:24
Numbers 22:24
Ndipo malaika wa Bwana akasimama katika njia nyembamba iliyo kati ya mashamba mawili ya mizabibu, yakiwa na kuta pande zote mbili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the angel of the LORD stood in a path of the vineyards, a wall being on this side, and a wall on that side.
In Context
23Wakati punda alipomwona malaika wa Bwana akiwa amesimama barabarani akiwa na upanga uliofutwa mkononi mwake, punda akageukia upande kuelekea shambani. Balaamu akampiga ili amrudishe barabarani.
25Punda alipomwona malaika wa Bwana, alijisukumiza karibu na ukuta, na kugandamiza mguu wa Balaamu ukutani. Ndipo Balaamu akampiga tena punda.
Read all of Numbers 22
This Verse In Other Editions
Study Numbers 22:24