bible.software › Numbers › Numbers 22 › Numbers 22:26
Numbers 22:26
Kisha malaika wa Bwana akaendelea mbele na kusimama mahali pembamba ambapo hapakuwepo nafasi ya kugeuka, upande wa kulia wala wa kushoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the angel of the LORD went further, and stood in a narrow place, where was no way to turn either to the right hand or to the left.
In Context
25Punda alipomwona malaika wa Bwana, alijisukumiza karibu na ukuta, na kugandamiza mguu wa Balaamu ukutani. Ndipo Balaamu akampiga tena punda.
27Punda alipomwona malaika wa Bwana, alilala chini Balaamu angali amempanda, naye Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake.
Read all of Numbers 22
Cross References
Hosea 2:6Kwa hiyo mimi Mungu nitaizuia njia yake 2 kwa vichaka vya miiba, 1 nitamjengea ukuta ili kwamba 2 asiweze kutoka. 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 22:26