Numbers 23:14
Basi akampeleka kwenye shamba la Sofimu, juu ya kilele cha Mlima Pisga. Pale akajenga madhabahu saba na kutoa sadaka ya fahali na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 23:1Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, mnitayarishie mafahali saba na kondoo dume saba.”
Deuteronomy 3:27Kwea juu ya kilele cha Pisga uangalie magharibi, kaskazini, kusini na mashariki. Iangalie hiyo nchi kwa macho yako, kwa vile wewe hutavuka Yordani.
Deuteronomy 34:1Kisha Mose akaupanda mlima Nebo kutoka tambarare za Moabu mpaka kilele cha Pisga, ngʼambo ya Yeriko. Huko Bwana akamwonyesha nchi yote: kutoka Gileadi mpaka Dani,
Isaiah 46:6Wengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao, 2 na kupima fedha kwenye mizani; 1 huajiri mfua dhahabu kutengeneza mungu, 2 kisha huisujudia na kuiabudu. 1