Numbers 23:29
Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, uandae mafahali saba na kondoo dume saba kwa ajili yangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika.
Cross References
Numbers 23:2Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema; hao wawili kila mmoja wao akatoa fahali mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu.