Numbers 25:14
Jina la Mwisraeli ambaye aliuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani ni Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa ya Simeoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 25:4Bwana akamwambia Mose, “Uwachukue viongozi wote wa watu hawa, uwaue na uwaweke hadharani mchana peupe mbele za Bwana, ili hasira kali ya Bwana iweze kuondoka kwa Israeli.”
1 Kings 11:18Wakaondoka Midiani wakaenda Parani. Basi wakichukua pamoja nao wanaume kutoka Parani, wakaenda Misri, kwa Farao mfalme wa Misri, ambaye alimpa Hadadi nyumba, ardhi na akampatia chakula.
Revelation 7:7kutoka kabila la Simeoni 12,000, 1 kutoka kabila la Lawi 12,000, 1 kutoka kabila la Isakari 12,000, 1