bible.software › Numbers › Numbers 25 › Numbers 25:17
Numbers 25:17
“Watendeeni Wamidiani kama adui na mwaue,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Vex the Midianites, and smite them:
In Context
16Bwana akamwambia Mose,
18kwa sababu wao waliwatendea kama adui wakati waliwadanganya katika tukio la Peori na dada yao Kozbi, binti wa kiongozi wa Kimidiani, mwanamke ambaye aliuawa wakati tauni ilikuja kama matokeo ya tukio la Peori.”
Read all of Numbers 25
Cross References
Numbers 31:1Bwana akamwambia Mose,
Judges 6:1Waisraeli wakafanya tena yaliyo maovu mbele za Bwana, naye kwa miaka saba Bwana akawatia mikononi mwa Wamidiani.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 25:17