Numbers 25:3
Kwa hiyo Israeli akaungana katika kumwabudu Baali wa Peori. Hasira ya Bwana ikawaka dhidi yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Israel joined himself unto Baal-peor: and the anger of the LORD was kindled against Israel.
In Context
Cross References
Numbers 25:5Kwa hiyo Mose akawaambia waamuzi wa Israeli, “Kila mmoja wenu lazima awaue wale wanaume wenu, walioshiriki katika kumwabudu Baali wa Peori.”
Deuteronomy 4:3Mliona kwa macho yenu wenyewe kile Bwana alichokifanya kule Baal-Peori. Bwana Mungu wenu aliwaangamiza kutoka miongoni mwenu kila mmoja aliyemfuata Baali wa Peori,
Judges 2:11Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali.
Judges 2:14Hivyo hasira ya Bwana ikawaka juu ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa wavamizi waliowateka nyara. Akawauza katika mikono ya adui zao pande zote, hivyo hawakuweza tena kuwazuia adui zao.
Psalms 90:11Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako? 2 Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa 2 kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako. 1
Psalms 106:29Waliichochea hasira ya Bwana, 2 wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, 2 nayo tauni ikazuka katikati yao. 1