Numbers 26:18
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Gadi; wale waliohesabiwa walikuwa 40,500.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17kutoka kwa Arodi, ukoo wa Waarodi; 1 kutoka kwa Areli, ukoo wa Waareli.
19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.
Cross References
Numbers 2:14Kabila la Gadi litafuata. Kiongozi wa watu wa Gadi ni Eliasafu mwana wa Deueli.