Numbers 26:38
Wazao wa Benyamini kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Bela, ukoo wa Wabela; 1 kutoka kwa Ashbeli, ukoo wa Waashbeli; 1 kutoka kwa Ahiramu, ukoo wa Waahiramu; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
39kutoka kwa Shufamu, ukoo wa Washufamu; 1 kutoka kwa Hufamu, ukoo wa Wahufamu. 1
Cross References
Genesis 46:2Mungu akanena na Israeli katika maono usiku na kusema, “Yakobo! Yakobo!” Akajibu, “Mimi hapa.”
1 Chronicles 7:6Wana watatu wa Benyamini walikuwa: 2 Bela, Bekeri na Yediaeli. 1