Numbers 26:40
Wazao wa Bela kutoka kwa Ardi na Naamani walikuwa: 2 kutoka kwa Ardi, ukoo wa Waardi; 2 kutoka kwa Naamani, ukoo wa Wanaamani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
39kutoka kwa Shufamu, ukoo wa Washufamu; 1 kutoka kwa Hufamu, ukoo wa Wahufamu. 1
41Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600.
Cross References
1 Chronicles 8:3Wana wa Bela walikuwa: 2 Adari, Gera, Abihudi,