Hesabu 26:50
Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
49kutoka kwa Yeseri, ukoo wa Wayeseri; 1 kutoka kwa Shilemu, ukoo wa Washilemu.
51Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730.
Cross References
Numbers 1:43Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400.