Numbers 26:7
Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa 43,730.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; 1 kutoka kwa Karmi, ukoo wa Wakarmi.
8Mwana wa Palu alikuwa Eliabu,
Cross References
Genesis 46:9Wana wa Reubeni ni: 2 Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. 1
Numbers 2:11Kundi lake lina watu 46,500. 1
Numbers 26:21Wazao wa Peresi walikuwa: 2 kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; 2 kutoka kwa Hamuli, ukoo wa Wahamuli.