bible.software › Numbers › Numbers 27 › Numbers 27:10
Numbers 27:10
Ikiwa hana ndugu wa kiume toa urithi wake kwa ndugu za baba yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if he have no brethren, then ye shall give his inheritance unto his father’s brethren.
In Context
9Ikiwa hana binti, wape ndugu zake wa kiume urithi wake.
11Ikiwa baba yake hakuwa na ndugu wa kiume, toa urithi wake kwa ndugu wa karibu katika ukoo wake, ili aumiliki. Hili litakuwa dai la sheria kwa Waisraeli, kama Bwana alivyomwamuru Mose.’ ” 1 Yoshua Kuchukua Nafasi Ya Mose (Kumbukumbu 31:1-8)
Read all of Numbers 27
This Verse In Other Editions
Study Numbers 27:10