Numbers 28:14
Pamoja na kila fahali kutakuwa na sadaka ya kinywaji nusu ya hini + 28:14 Nusu ya hini ni sawa na lita 2. ya divai; pamoja na kila kondoo dume, theluthi moja ya hini, + 28:14 Theluthi moja ya hini ni sawa na lita 1.2. na pamoja na kila mwana-kondoo robo hini. Hii ni sadaka ya kuteketezwa ya kila mwezi itakayotolewa kila mwandamo wa mwezi kwa mwaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 15:9leta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa + 15:9 Sehemu tatu za kumi za efa ni sawa na kilo 3. uliochanganywa na nusu ya hini + 15:9 Nusu ya hini ni sawa na lita 2. ya mafuta.
Numbers 29:18Pamoja na mafahali, kondoo dume, na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.
Isaiah 1:13Acheni kuniletea sadaka zisizokuwa na maana! 2 Uvumba wenu ni chukizo kwangu. 1 Miandamo ya Mwezi, Sabato na makusanyiko ya ibada: 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu maovu. 1
Ezekiel 46:4Sadaka ya kuteketezwa aletazo mkuu anayetawala kwa Bwana siku ya Sabato itakuwa ni wana-kondoo sita na kondoo dume mmoja, wote wasiwe na dosari.