bible.software › Numbers › Numbers 28 › Numbers 28:23
Numbers 28:23
Andaa hizi licha ya zile sadaka za kawaida za kuteketezwa za kila asubuhi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye shall offer these beside the burnt offering in the morning, which is for a continual burnt offering.
In Context
22Pia mtoe beberu mmoja kama sadaka ya dhambi ambaye atafanya upatanisho kwa ajili yenu.
24Kwa njia hii andaa chakula cha sadaka ya kuteketezwa kila siku, kwa siku saba kama harufu nzuri impendezayo Bwana. Hii itaandaliwa licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa ya kila siku pamoja na sadaka yake ya kinywaji.
Read all of Numbers 28
Cross References
Numbers 28:3Waambie: ‘Hii ni sadaka ya kuteketezwa kwa moto mnayomtolea Bwana: wana-kondoo wawili wa mwaka mmoja wasio na dosari, kama sadaka ya kawaida ya kuteketezwa kila siku.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 28:23