Numbers 29:1
“ ‘Katika siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtakuwa na kusanyiko takatifu na msifanye kazi ya kawaida. Ni siku kwa ajili yenu ya kupiga tarumbeta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 23:7Katika siku ya kwanza, mtakuwa na kusanyiko takatifu, na msifanye kazi zenu za kawaida.
Leviticus 23:24“Waambie Waisraeli: ‘Katika siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtakuwa na siku ya mapumziko, kusanyiko takatifu la ukumbusho litakaloadhimishwa kwa kupiga tarumbeta.
Numbers 29:35“ ‘Katika siku ya nane mtakuwa na kusanyiko, na msifanye kazi ya kawaida.
Ezra 3:6Ingawa bado msingi wa Hekalu la Bwana ulikuwa haujawekwa, watu walianza kutoa sadaka za kuteketezwa kwa moto kwa Bwana tangu siku ya kwanza ya mwezi wa saba. 1 Kujenga Upya Hekalu
Nehemiah 8:2Basi katika siku ya kwanza ya mwezi wa saba, kuhani Ezra akaleta Sheria mbele ya kusanyiko, ambamo walikuwamo wanaume, wanawake na watu wote walioweza kufahamu.
Psalms 89:15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe, 2 wanaotembea katika mwanga 2 wa uwepo wako, Ee Bwana. 1