bible.software › Numbers › Numbers 29 › Numbers 29:10
Numbers 29:10
na kwa kila mmoja wa wana-kondoo saba andaa sehemu ya kumi ya unga laini kwa kila mmoja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A several tenth deal for one lamb, throughout the seven lambs:
In Context
9Pamoja na fahali, andaeni sadaka ya nafaka sehemu ya kumi tatu za efa za unga laini uliochanganywa na mafuta; pamoja na kondoo dume, sehemu ya kumi mbili za efa za unga laini;
11Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, katika nyongeza ya sadaka ya dhambi kwa ajili ya upatanisho, na sadaka ya kawaida ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya nafaka, na sadaka zake za vinywaji. 1 Sikukuu Ya Vibanda (Walawi 23:33-44)
Read all of Numbers 29
This Verse In Other Editions
Study Numbers 29:10