bible.software › Numbers › Numbers 29 › Numbers 29:26
Numbers 29:26
“ ‘Katika siku ya tano andaeni mafahali tisa, kondoo dume wawili na wana-kondoo kumi na wanne wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And on the fifth day nine bullocks, two rams, and fourteen lambs of the first year without spot:
In Context
25Weka beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, kwa nyongeza ya kawaida ya sadaka ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka, pamoja na sadaka zao za vinywaji.
27Pamoja na mafahali, kondoo dume na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka na sadaka za kinywaji kulingana na idadi iliyoainishwa.
Read all of Numbers 29
This Verse In Other Editions
Study Numbers 29:26