Numbers 29:36
Toeni sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri inayompendeza Bwana, sadaka ya kuteketezwa ya fahali mmoja, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo dume saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35“ ‘Katika siku ya nane mtakuwa na kusanyiko, na msifanye kazi ya kawaida.
Cross References
Numbers 29:2Mtatayarisha sadaka ya kuteketezwa kama harufu nzuri impendezayo Bwana ya fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja, na wana-kondoo saba wa mwaka mmoja, wote wasio na dosari.