bible.software › Numbers › Numbers 29 › Numbers 29:38
Numbers 29:38
Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi, katika nyongeza ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, na sadaka yake ya nafaka pamoja na sadaka ya kinywaji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And one goat for a sin offering; beside the continual burnt offering, and his meat offering, and his drink offering.
In Context
37Pamoja na fahali, kondoo dume na wana-kondoo, andaeni sadaka zao za nafaka, na sadaka za vinywaji, kulingana na idadi iliyoainishwa.
39“ ‘Zaidi ya kile unachoweka nadhiri na sadaka zenu za hiari, andaeni hizi kwa ajili ya Bwana kwenye sikukuu zenu zilizoamriwa: sadaka zenu za kuteketezwa, sadaka za nafaka, sadaka za vinywaji, pamoja na sadaka zenu za amani.’ ”
Read all of Numbers 29
This Verse In Other Editions
Study Numbers 29:38