Numbers 29:5
Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And one kid of the goats for a sin offering, to make an atonement for you:
In Context
4na pamoja na wana-kondoo saba kila mmoja aandaliwe na sehemu ya kumi ya efa ya unga.
Cross References
Numbers 28:15Zaidi ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya kinywaji, mbuzi mmoja dume atatolewa kwa Bwana kama sadaka ya dhambi. 1 Pasaka (Walawi 23:5-14)
Numbers 28:30Ongeza beberu mmoja kwa kufanya upatanisho kwa ajili yenu.