Numbers 3:23
Ukoo wa Wagershoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The families of the Gershonites shall pitch behind the tabernacle westward.
In Context
22Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500.
24Kiongozi wa jamaa za Wagershoni alikuwa Eliasafu mwana wa Laeli.
Cross References
Numbers 1:53Hata hivyo, Walawi watapiga mahema yao kuzunguka Maskani ya Ushuhuda ili ghadhabu isiipate jumuiya ya Waisraeli. Walawi watawajibika kwa utunzaji wa Maskani ya Ushuhuda.”