Numbers 31:11
Walichukua nyara zote na mateka, pamoja na watu na wanyama,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they took all the spoil, and all the prey, both of men and of beasts.
In Context
10Walichoma moto miji yote ambayo Wamidiani walikuwa wanaishi, pamoja na kambi zao zote.
Cross References
Genesis 34:29Walichukua utajiri wao wote pamoja na wanawake na watoto wao, wakachukua nyara kila kitu ndani ya nyumba zao.
Joshua 8:2Utafanya Ai na mfalme wake kama ulivyofanya kwa mji wa Yeriko na mfalme wake, isipokuwa mnaweza kuchukua mateka wake na mifugo wake, kwa ajili yenu. Weka waviziaji upande wa nyuma ya mji.”