Numbers 31:13
Mose, kuhani Eleazari na viongozi wote wa jumuiya wakatoka kuwalaki nje ya kambi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 14:17Abramu aliporudi baada ya kumshinda Mfalme Kedorlaoma na wale wafalme waliojiunga naye, mfalme wa Sodoma akatoka kwenda kumlaki katika Bonde la Shawe (yaani Bonde la Mfalme).
Numbers 19:11“Mtu yeyote agusaye maiti ya mtu yeyote atakuwa najisi kwa siku saba.
Numbers 31:22Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati, risasi,
1 Samuel 30:21Kisha Daudi akafika kwa wale watu 200 waliokuwa wamechoka sana kumfuata na ambao waliachwa nyuma kwenye Bonde la Besori. Wakatoka kwenda kumlaki Daudi na wale watu aliokuwa nao. Daudi na watu wake walipowakaribia, akawasalimu.