Numbers 31:29
Chukua ushuru huu kutoka fungu lao, umpe kuhani Eleazari kama sehemu ya Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Take it of their half, and give it unto Eleazar the priest, for an heave offering of the LORD.
In Context
Cross References
Exodus 29:27“Weka wakfu zile sehemu za kondoo dume aliyetumika kwa kumweka wakfu Aroni na wanawe: kidari kile kilichoinuliwa na lile paja lililotolewa.
Numbers 18:28Kwa njia hii, ninyi pia mtatoa sadaka kwa Bwana kutoka zaka zote mtakazopokea kutoka kwa Waisraeli. Kutoka kwenye zaka hizi, ni lazima mtoe sehemu ya Bwana kwa Aroni, kuhani.
Deuteronomy 12:19Mwe waangalifu msiwapuuze Walawi kwa muda wote mnaoishi katika nchi yenu.