Numbers 31:37
ambayo ushuru kwa ajili ya Bwana ilikuwa kondoo 675; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD’S tribute of the sheep was six hundred and threescore and fifteen.
In Context
36Nusu ya fungu la wale waliokwenda kupigana vitani lilikuwa: 1 Kondoo 337,500
38ngʼombe 36,000 ambao ushuru kwa ajili ya Bwana ulikuwa ngʼombe 72; 1
Cross References
Deuteronomy 16:10Kisha msherehekee Sikukuu ya Majuma kwa Bwana Mungu wenu kwa kutoa sadaka ya hiari kwa kadiri ya baraka ambayo Bwana Mungu wenu amewapa.