bible.software › Numbers › Numbers 31 › Numbers 31:48
Numbers 31:48
Kisha maafisa waliokuwa juu ya vikosi vya jeshi, wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, walimwendea Mose
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the officers which were over thousands of the host, the captains of thousands, and captains of hundreds, came near unto Moses:
In Context
47Kutoka hiyo nusu iliyokuwa ya Waisraeli, Mose alichagua moja kati ya kila hamsini ya wanadamu na wanyama, kama Bwana alivyomwagiza, naye aliwapa Walawi, ambao waliwajibika kutunza Maskani ya Bwana.
49na kumwambia, “Watumishi wako wamehesabu askari walio chini ya amri yetu na hakuna hata mmoja aliyekosekana.
Read all of Numbers 31
Cross References
Numbers 31:14Mose aliwakasirikia maafisa wa jeshi, yaani hao wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, ambao walirudi kutoka vitani.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 31:48