The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 32 › Numbers 32:18

Numbers 32:18

Hatutarudi nyumbani mwetu mpaka kila Mwisraeli apokee urithi wake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

We will not return unto our houses, until the children of Israel have inherited every man his inheritance.

In Context

17Lakini sisi tuko tayari kuchukua silaha zetu na kutangulia mbele ya Waisraeli mpaka tutakapowaleta mahali pao. Wakati huo wanawake wetu na watoto wataishi katika miji yenye ngome, kwa ajili ya ulinzi dhidi ya wenyeji wa nchi.

19Hatutapokea urithi wowote pamoja nao ngʼambo ya Yordani, kwa sababu urithi wetu umekuja kwetu upande wa mashariki ya Yordani.”

Read all of Numbers 32

Cross References

Joshua 22:1Ndipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 32:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 32:17Numbers 32Numbers 32:19 →