bible.software › Numbers › Numbers 32 › Numbers 32:25
Numbers 32:25
Wagadi na Wareubeni wakamwambia Mose, “Sisi watumishi wako tutafanya kama bwana wetu anavyotuagiza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Gad and the children of Reuben spake unto Moses, saying, Thy servants will do as my lord commandeth.
In Context
24Jengeni miji kwa ajili ya wanawake na watoto wenu, na mazizi kwa ajili ya mbuzi na kondoo zenu, lakini fanyeni yale mliyoahidi.”
26Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ngʼombe zetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.
Read all of Numbers 32
Cross References
Joshua 1:16Ndipo wakamjibu Yoshua, “Chochote ambacho umetuagiza tutafanya na popote utakapotutuma tutakwenda.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 32:25