bible.software › Numbers › Numbers 32 › Numbers 32:30
Numbers 32:30
Lakini kama hawatavuka pamoja nanyi wakiwa wamevaa silaha za vita, lazima wakubali kupokea milki yao pamoja nanyi katika nchi ya Kanaani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if they will not pass over with you armed, they shall have possessions among you in the land of Canaan.
In Context
29Mose akawaambia, “Ikiwa Wagadi na Wareubeni, kila mwanaume aliyevaa silaha za vita, atavuka Yordani pamoja nanyi mbele za Bwana, basi wakati mtakapoishinda nchi iliyoko mbele yenu, wapeni nchi ya Gileadi kama milki yao.
31Wagadi na Wareubeni wakajibu, “Watumishi wako watafanya lile Bwana alilosema.
Read all of Numbers 32
This Verse In Other Editions
Study Numbers 32:30