Numbers 33:12
Wakaondoka katika Jangwa la Sini, wakapiga kambi huko Dofka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they took their journey out of the wilderness of Sin, and encamped in Dophkah.
In Context
11Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. 1
13Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi. 1
Cross References
Exodus 17:1Jumuiya yote ya Israeli ikaondoka kutoka Jangwa la Sini, ikisafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine kama Bwana alivyoagiza. Wakapiga kambi huko Refidimu, lakini hapakuwa na maji ya watu kunywa.