Numbers 33:14
Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they removed from Alush, and encamped at Rephidim, where was no water for the people to drink.
In Context
13Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi. 1
15Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai. 1
Cross References
Exodus 19:2Baada ya kuondoka Refidimu, waliingia katika Jangwa la Sinai na Israeli wakapiga kambi pale jangwani mbele ya mlima.