Numbers 33:30
Wakaondoka Hashmona na kupiga kambi Moserothi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they departed from Hashmonah, and encamped at Moseroth.
In Context
29Wakaondoka Mithka na kupiga kambi huko Hashmona. 1
31Wakaondoka Moserothi na kupiga kambi huko Bene-Yakani. 1
Cross References
Numbers 20:28Mose akamvua Aroni mavazi yake na kumvika mwanawe Eleazari mavazi hayo. Naye Aroni akafia pale juu ya mlima. Kisha Mose na Eleazari wakateremka kutoka mlimani.
Deuteronomy 10:6(Waisraeli walisafiri kutoka visima vya Yaakani hadi Mosera. Huko Aroni alifariki na kuzikwa, naye Eleazari mwanawe akachukua nafasi yake kama kuhani.