Numbers 33:40
Mfalme Mkanaani wa Aradi, ambaye aliishi huko Negebu ya Kanaani, akasikia kwamba Waisraeli wanakuja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
39Aroni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123. 1
41Wakaondoka kwenye mlima Hori na kupiga kambi huko Salmona. 1
Cross References
Numbers 21:1Mfalme wa Kikanaani wa Aradi aliyeishi huko Negebu aliposikia kwamba Waisraeli walikuwa wanakuja kwa njia ya Atharimu, aliwashambulia Waisraeli na kuwateka baadhi yao.