Numbers 33:47
Wakaondoka Almon-Diblathaimu na kupiga kambi katika milima ya Abarimu, karibu na Nebo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they removed from Almon-diblathaim, and pitched in the mountains of Abarim, before Nebo.
In Context
46Wakaondoka Dibon-Gadi na kupiga kambi huko Almon-Diblathaimu. 1
Cross References
Numbers 21:20na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali ambapo kilele cha Pisga kinatazamana na nyika. 1 Kushindwa Kwa Sihoni Na Ogu (Kumbukumbu 2:26–3:11)
Deuteronomy 32:49“Kwea katika mapangano ya Mlima Abarimu hadi kilima cha Nebo kilichoko Moabu, ngʼambo ya Yeriko, na uitazame Kanaani, nchi ninayowapa Waisraeli kama milki yao wenyewe.