Numbers 35:16
“ ‘Kama mtu akimpiga mwenzake kwa chuma naye mtu huyo akafa, mtu huyo ni muuaji; muuaji sharti atauawa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 9:6“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, 2 damu yake itamwagwa na mwanadamu, 1 kwa kuwa katika mfano wa Mungu, 2 Mungu alimuumba mwanadamu.
Leviticus 24:17“ ‘Kama mtu yeyote atamuua mtu mwingine, ni lazima auawe.
Numbers 35:30“ ‘Yeyote anayeua mtu atauawa kama muuaji ikiwa tu kuna ushuhuda wa mashahidi. Lakini hakuna mtu atakayeuawa kwa ushuhuda wa shahidi mmoja tu.
Ezekiel 16:38Nitakuhukumia adhabu wanayopewa wanawake wafanyao uasherati na hao wamwagao damu, nitaleta juu yenu kisasi cha damu cha ghadhabu yangu na wivu wa hasira yangu.