Numbers 35:31
“ ‘Usikubali fidia yoyote ya kuokoa uhai wa muuaji ambaye anastahili kufa. Mtu huyo hakika lazima auawe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 9:5Hakika damu ya uhai wenu nitaidai. Nitaidai kutoka kwa kila mnyama. Kutoka kwa kila mwanadamu pia nitaidai kwa ajili ya uhai wa mtu mwenzake. 1
Deuteronomy 19:11Lakini kama mtu anamchukia ndugu yake, akamvizia, akamshambulia na kumuua, kisha akakimbilia katika mmojawapo ya miji hii,
2 Samuel 12:13Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya Bwana.” Nathani akamjibu, “ Bwana amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.
Psalms 51:14Ee Mungu, Mungu uniokoaye, 2 niokoe na hatia ya kumwaga damu, 2 nao ulimi wangu utaimba juu ya haki yako. 1