Numbers 36:11
Binti za Selofehadi, ambao ni Mahla, Tirsa, Hogla, Milka na Noa, wakaolewa na waume, wana wa ndugu za baba yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Kwa hiyo binti za Selofehadi wakafanya kama Bwana alivyomwamuru Mose.
Cross References
Numbers 27:1Binti za Selofehadi mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, walikuwa wa koo za Manase mwana wa Yosefu. Majina ya hao binti yalikuwa Mahla, Noa, Hogla, Milka na Tirsa. Walikaribia