Numbers 4:18
“Hakikisheni kwamba koo za kabila la Wakohathi hawatengwi kutoka Walawi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Cut ye not off the tribe of the families of the Kohathites from among the Levites:
In Context
17Bwana akawaambia Mose na Aroni,
Cross References
Exodus 19:21naye Bwana akamwambia Mose, “Shuka ukawaonye watu ili wasijipenyeze kutafuta kumwona Bwana na wengi wao wakafa.
Exodus 30:38Yeyote atakayetengeneza uvumba kama huu ili kufurahia harufu yake nzuri lazima akatiliwe mbali na watu wake.”
Numbers 16:32nchi ikafunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na jamaa zao, na watu wote wa Kora na mali zao zote.
Numbers 18:5“Mtawajibika katika utunzaji wa mahali patakatifu na madhabahu, ili kwamba ghadhabu isiwaangukie Waisraeli tena.
2 Samuel 6:6Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Nakoni, Uza akanyoosha mkono na kulishika Sanduku la Mungu kwa sababu maksai walijikwaa.