Numbers 4:30
Wahesabu wanaume wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao watakuja kutumika katika Hema la Kukutania.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29“Wahesabu Wamerari kwa koo zao na jamaa zao.
Cross References
Numbers 4:3Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini wanaokuja kutumika katika kazi ya Hema la Kukutania.
Psalms 110:1Bwana amwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 mpaka nitakapowafanya adui zako 2 kuwa mahali pa kuweka miguu yako.” 1
2 Timothy 2:4Hakuna askari yeyote ambaye akiwa vitani hujishughulisha na mambo ya kawaida ya maisha haya kwa sababu nia yake ni kumpendeza yule aliyemwandika awe askari.