Numbers 4:35
Wanaume wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya wakawahesabu Wakohathi kwa koo zao na jamaa zao.
36waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750.
Cross References
Numbers 4:23Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao huja kutumika katika Hema la Kukutania.
Numbers 4:39Watu wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania,
Numbers 4:47Wanaume wote wenye umri kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania
1 Chronicles 23:3Walawi waliokuwa na umri wa miaka thelathini au zaidi walihesabiwa, nayo hesabu ya wanaume ilikuwa 38,000.
1 Chronicles 23:26Walawi hawahitaji tena kubeba Maskani wala chombo chochote cha utumishi wake.”
Luke 3:23Yesu alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alikuwa akidhaniwa kuwa mwana wa Yosefu, 1 Yosefu alikuwa mwana wa Eli, 1