Numbers 4:37
Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wote wale wa koo za Wakohathi ambao walitumika katika Hema la Kukutania. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya Bwana kupitia kwa Mose.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750.
38Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Cross References
Leviticus 26:46Hizi ndizo amri, sheria na pia masharti ambazo Bwana alifanya kati yake mwenyewe na Waisraeli katika Mlima Sinai kupitia kwa Mose.
Numbers 4:47Wanaume wote wenye umri kuanzia miaka thelathini hadi hamsini waliokuja kufanya kazi ya kuhudumu na kubeba Hema la Kukutania