Numbers 4:45
Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Wamerari. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatia amri ya Bwana kupitia kwa Mose.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
44waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 3,200.
46Hivyo Mose, Aroni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kwa koo zao na jamaa zao.
Cross References
Numbers 4:29“Wahesabu Wamerari kwa koo zao na jamaa zao.