Numbers 5:10
Kila kitu cha mtu kilichowekwa wakfu ni chake mwenyewe, lakini kile atoacho kwa kuhani kitakuwa cha kuhani.’ ” 1 Jaribio Kwa Ajili Ya Mke Asiye Mwaminifu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And every man’s hallowed things shall be his: whatsoever any man giveth the priest, it shall be his.
In Context
9Matoleo yote matakatifu ya Waisraeli wanayoleta kwa kuhani yatakuwa yake.
11Kisha Bwana akamwambia Mose,
Cross References
Exodus 29:28Siku zote hili litakuwa fungu la kawaida kutoka kwa Waisraeli kwa ajili ya Aroni na wanawe. Hili ni toleo la Waisraeli watakalotoa kwa Bwana kutoka sadaka zao za amani.